Alhamisi, 12 Januari 2017

TOZ-B ANAKULETEA NGOMA MPYA HIVI KARIBUNI

::Msanii wa Nchini Tanzania Toz-B akifanya kazi zake vyema nchini Burundi anatarajia kukuwekea kibao kipya masikion mwako kitakachojulikana kama MAMITO akiwa amemshirikisha msanii maarufu kutoka nchini Burundi B_fizzo
::Habari hizi zoote utazipata humu humu endelea kuwa pamoja na sisi.

TEAM TOZ-B DANCERS HAWA HAPA

::Hawa ndiyo dancer wapya wa team Toz_b Tanzania and Burundi hawa hapa.....
Endelea kuifollow blog hii ikuletee habari zoote kutoka team Toz_b na kwingineko Duniani katika Sanaa