::Msanii wa Nchini Tanzania Toz-B akifanya kazi zake vyema nchini Burundi anatarajia kukuwekea kibao kipya masikion mwako kitakachojulikana kama MAMITO akiwa amemshirikisha msanii maarufu kutoka nchini Burundi B_fizzo
::Habari hizi zoote utazipata humu humu endelea kuwa pamoja na sisi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni