Alhamisi, 26 Januari 2017

FAHAMU ZAIDI UJIO WA VIDEO MPYA YA TOZ-B ft LOLILO LIZZO "IVYISI" NA HIZI HAPA BAADHI YA PICHA ZA VIDEO MPYA IVYISI.

::Kisleu promoter 
Msanii TOZ-B Kutoka Nchiini Tanzania 🇹🇿akiendelea kutikisa Nchiini Burundi 🇧🇮  kwa kufanya kazi na wasanii maarufu Nchiini Burundi 🇧🇮  sasa kibao kilichodondoka Majuzi tuu kutoka kwake TOZ-B ft LOLILO LIZZO IVYISI hizi ndizo baadhi ya picha za video hiyo mpya....


Endelea kubaki hapa hapa... Kuzipata zoote kuhusu TOZ-B MSANII.

+255 758244348. #SHARE plz.  🇹🇿 + 🇧🇮
HAPA VIDEO QUEEN
TEAM NZIMA YA KAZI IVYISI
DANCERS IVYISI
SIMBA LOLILO

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni